Uamuzi hasi wa hifadhi umetishwa

  • Mwanainchi wa Iraq, Omar Mohamed, alipokea uamuzi hasi juu ya maombi yake ya hifadhi.
  • Mchakato mzito wa  hifadhi ni kusubiri na kutokuwa na uhakika.
Rivitaloasunto Rengossa on Amer Mohammedin kuudes osoite Suomessa.

Jengo la ghorofa la chini mjini Renko ni anuani ya sita ya Omar Mohammed nchini Finland.

Omar Mohamed aliye fika Finland mwisho wa automn amepokea uamuzi toka ofisi ya uhamiaji mbele wa midsummer. Ombi lake la hifadhi limekataliwa. Mohamed anasema yeye alishangazwa na uamuzi huu na inatarajia kutoa malalamiko.

Yeye ana omba hifadhi katika Finland, kwa sababu kulingana na Mohamed, amepata tishio la kibinafsi nchini mwake Iraq.

Katika mahojiano na polisi na mawakala wa ofisi za uhamiaji, nilisema nini kilichotokea.

Tukio hilo ni shahidi, lakini ni lazima kuwa na ushahidi bora zaidi.

Mohamed alisema alikuwa na umri wa miaka 16 wakati yeye alishuhudia kuwaona wanamgambo wa kiShiite wakimteka nyara kiongozi wa kabila fulani.

Nilikuwa tu mtoto, lakini wakati huo ulikuwa mbaya katika mazingira ya hatari. Mara ya kwanza nilidhani kwamba jambo hilo halinge weza kusababisha matatizo kama vile (utekaji nyara na risasi) ilikuwa karibu kila siku katika Iraq. Aliye tekwa alikuwa kiongozi wa kabila langu mwenyewe, na aliweza, katika mazingira magumu, kuwaumiza baadhi ya washambuliaji. Hao wame tambuliwa hospitalini na wange patiwa na lawama ya utekaji nyara, asema Mohamed.

Baada ya tukio hilo baba wa Mohamed aliambiwa  kwamba kulikuwa na sababu ya familia kukimbia, kwa sababu ushahidi dhidi ya washambulizi unaweza  kutishia maisha ya Mohammed.

Familia wakakimbia toka mji wa Al Sweeran na kuhamia Syria. Wakati familia ilirudi Iraq mwaka 2008 katika mji wa Faluja, Mohamed alitumwa Ukraine ambapo alisoma masomo ya  kidaktari. Mohamed alilionyesha Shirika la Uhamiaji nyaraka zake za shule zinazo toa utambulisho wa masomo yake, alisema, ni hizo ndizo  zingeweza kuthibitisha kuwa ni sahihi.

KWA IRAQ Mohamed alisema aliondoka Ukraine katika mwaka wa 2014 kutafuta familia yake ambaye ilitopotea mapema mwaka huo huo.

Habari za mwisho zisizo na uhakika ni kwamba familia imekimbia toka Faluja na kwenda maeneo ya mkoa ya Isis  walipo  jaribu kuandikisha baba wa Mohamed katika vikundi vya wapiganaji. Mohamed alisema alilazimishwa mafichoni kwa sababu wanamgambo waShiite walikuwa na jukumu daima na ushawishi mkubwa katika maeneo hayo.

Nilibaki kwa mtu wa ukoo niliye mjua, na nili chunga kondoo. Si vizuri  kujificha katika eneo la kijijini kama usingekuweko na  kulinda kondoo wakati umesoma mda wa miaka sita.

ALIPO WASILI FINLAND, Mohamed alipokelewa katika maskani sita au dharura tofauti.Yeye anaishi kwa sasa kitongojini  Renko akiwa pamoja na wenzake sita, wanaotafuta hifadhi, katika ghorofa moja. Maisha ni yale yale.

Nafanya hicho watu wanatarajia kutoka kwangu, nangoja tena mimi ni mvumilivu. Najua kwamba maombi yetu ya hifadhi ni gharama kwa walipa kodi wafini, na sisi twapata  mengi kutoka kwao bila kurudisha chochote. Natumaini kwamba wakati mwingine mimi naweza kupata nafasi ya kulipa angalau sehemu ya maeneo mengine ya nchi kwa kufanya kazi.

Mohamed alifanya kazi mbalimbali za kujitolea katika vituo vya mapokezi na masoko kiroboto nchini Finland. Ange tarajia kupata kazi yoyote ile mjini Renko ao Hämeenlinna, hivi kwamba maisha yange boreshwa.

Mtafuta hifadhi anaweza kufanya ajira ya kulipwa Finland bila kibali cha makazi wakati maombi ya hifadhi imefanya  miezi sita.

– Nina weza kufanya kwa mikono yangu upasuaji zote za kukarabati baiskeli, Mohamed alisema kwa kicheko.

  Baada ya miezi ya kutokuwa na uhakika, kusubiri na kuhamishwa  mara kwa mara kutoka ghorofa moja hadi nyingine ni mbaya na inaharibu mpango wa kuanza.

– Nalala vibaya na ubongo wangu haufanyi tena kazi vizuri kama mbeleni. Kwa mfano ni vigumu kwangu kujifunza  lugha ya Kifini, na bila shaka, ni vigumu kupata motisha ya kujifunza wakati hujui siku zijazo zitakua je. Najua kwamba watu wa vituo vya huduma hufanya bora, lakini makao ni yenye kubana. Kila mtu ana kitanda chake tu kwa nafasi yake binafsi.

 HUDUMA YA UHAMIAJI ya Finland imebadilisha mwishoni mwa Mei sera yake dhidi ya Iraq. Chini ya sera mpya, suala la vibali makazi lilikuwa ngumu, miongoni mwa wengine raia wa Iraq, kwa sababu hali ya usalama inachukuliwa kuboreshwa katika miezi ya karibuni.

   Wakati huo huo, imeamuliwa  kupunguza ongezeko la yapatao 6,000 la  uwezo malazi katika vituo vya mapokezi. Katika vituo vyote vya maeneo zitapungua mwaka huu kwa kuhusu 16,000, kwa sababu idadi ya watu wanaotafuta hifadhi imepungua na Finland tu ilikataa watu wa kuingia, na idadi ya watu walio rudishwa Iraq kwa hiari ni kubwa. Mohamed anashangazwa na kurudishwa kwa watu walio fika Finland kwa mda mrefu.

Sielewi kwa nini mtu anaweza kwenda safari ya hatari kurudi  kwa muda nyumbani na kurudi.
Haina mafaa.

Kumbukumbu: Hämeen sanomat 3.7.2016, ukarasa B8.


 

 

 

Kommentointi on suljettu.

css.php